WEBSITE DESIGN

“Duka Lako Lililowazi Masaa 24/7 Mtandaoni!”

Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, tovuti si  anasa—ni anwani yako rasmi ya biashara. Tunakutengenezea tovuti ya kisasa, yenye kasi, na inayofanya kazi vizuri kwenye simu zote na kompyuta.

  • Kwanini Utuchague Sisi?

    • Tunatengeneza muonekano wa kipekee unaoendana na aina ya biashara yako.

    • Inasomeka kwa urahisi kwenye Google (SEO Friendly) ili wateja wakutafute na kukupata bila shida.

    • Mfumo rahisi wa wateja wako kukuwekea oda au kuwasiliana nawe moja kwa moja kupitia WhatsApp.

    • Tunakupa mafunzo ya bure ya jinsi ya kuisimamia mwenyewe ukipenda.

HUDUMA NYINGINE TUNAZOTOA

  • BLOG DESIGN

    Kama unahitaji blog kwa ajili ya habari, matukio, au kutoa elimu na ujuzi ulionao, tunakujengea Blog ya kisasa na rahisi kuitumia. Blog zetu zinakuwa na muonekano wa kuvutia, zinapakia kwa kasi, na zimeandaliwa tayari kuingiza kipato kupitia matangazo (kama Google Adsense). Kwa nini utuchague? Tunakufundisha jinsi ya kuweka makala mwenyewe na tunahakikisha blog yako inaonekana…

  • HUDUMA YA BULK SMS

    Wafikie Wateja Wako Moja kwa Moja Kwenye Simu Zao kwa Sekunde Chache! Bulk SMS ndiyo njia ya haraka na ya uhakika zaidi ya kuwasiliana na wateja wako. Huduma hii inakuwezesha kutuma jumbe za matangazo, taarifa, au vikumbusho kwenda kwa mamia au maelfu ya watu kwa wakati mmoja. Ni huduma bora kwa wajasiriamali, shule, taasisi za…

  • MAFUNZO YA KURUSHA MATANGAZO

    Jifunze Mbinu za Kurusha Matangazo Yenye Matokeo na Ongeza Mauzo Mwenyewe Acha kupoteza pesa kwa kurusha matangazo yasiyosababisha mauzo! Kupitia mafunzo yetu ya vitendo, tutakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kurusha matangazo ya kulipia mtandaoni (Facebook & Instagram Ads), jinsi ya kuchagua walengwa sahihi, na jinsi ya kupunguza gharama za matangazo huku ukipata wateja wengi….

  •  KUONGEZA FOLLOWERS

    Jenga Uaminifu na Mvuto wa Haraka Kwenye Akaunti Yako! Wateja wengi mtandaoni huangalia idadi ya wafuasi (followers) kabla ya kuamua kununua. Tunakusaidia kuongeza followers kwenye akaunti yako ya Instagram kwa haraka na kwa njia salama ili kuipa akaunti yako muonekano wa kiushindani na wenye ushawishi. Unapokuwa na followers wengi, wateja wapya wanajiamini zaidi kufanya biashara…

  •  GRAPHIC DESIGN

    Kazi zetu Zitakupa Muonekano mzuri huvutia wateja kabla hujasema neno. Tunabuni kazi za kuvutia macho zinazoipa biashara yako sura ya kitaalamu: Logo Mabango na Banners Business Cards Vitambulisho vya PVC Kadi za mwaliko Kalenda Vipeperushi Nametags Kila ubunifu unafanywa kulingana na mahitaji yako, kwa ubora wa hali ya juu na kwa wakati. Tuambie unachohitaji, sisi…

  • BRANDING YA BIASHARA

    “Acha Alama Isiyofutika na Tofautisha Biashara Yako na Washindani!” Branding nzuri ndiyo siri ya biashara zote kubwa duniani. Tunakusaidia kujenga utambulisho wa kipekee kuanzia kuchagua Jina la Biashara/Kampuni, kubuni Logo ya kisasa, kuandaa rangi za ushirika (brand colors), mpaka Mpango Kabambe wa Masoko (Marketing Strategy). Tunageuza wazo lako kuwa brand inayoeleweka, inayovutia, na inayotamanika sokoni….