HUDUMA YA BULK SMS
Wafikie Wateja Wako Moja kwa Moja Kwenye Simu Zao kwa Sekunde Chache!
Bulk SMS ndiyo njia ya haraka na ya uhakika zaidi ya kuwasiliana na wateja wako. Huduma hii inakuwezesha kutuma jumbe za matangazo, taarifa, au vikumbusho kwenda kwa mamia au maelfu ya watu kwa wakati mmoja. Ni huduma bora kwa wajasiriamali, shule, taasisi za kifedha, maduka, na NGOs.
-
Kwa nini utuchague? Jumbe zetu zinafika kwa 100%, unaweza kutuma kwa jina la taasisi yako (Sender ID), na gharama zetu kwa kila SMS ni ndogo sana!
