BRANDING YA BIASHARA
“Acha Alama Isiyofutika na Tofautisha Biashara Yako na Washindani!”
Branding nzuri ndiyo siri ya biashara zote kubwa duniani. Tunakusaidia kujenga utambulisho wa kipekee kuanzia kuchagua Jina la Biashara/Kampuni, kubuni Logo ya kisasa, kuandaa rangi za ushirika (brand colors), mpaka Mpango Kabambe wa Masoko (Marketing Strategy). Tunageuza wazo lako kuwa brand inayoeleweka, inayovutia, na inayotamanika sokoni.
Kwa nini utuchague? Tunakupa muundo wa kipekee unaoakisi thamani ya biashara yako na kuivutia hisia za wateja wako.
