PRINTING
Kazi za Uchapaji Zenye Ubora wa Hali ya Juu na Rangi Halisi!”
Tunatoa huduma bora za uchapaji (printing) kwa bidhaa mbalimbali kama vile Diary, Vitabu vya Risiti za Shule/Biashara, Kalenda, T-shirts, Vipeperushi, na Mabango makubwa. Tunatumia mashine za kisasa zinazotoa matokeo safi, rangi zinazoonekana wazi, na nyenzo zinazodumu kwa muda mrefu.
-
Kwa nini utuchague? Tunazingatia muda wa kukamilisha kazi (deadlines) na tunahakikisha ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu.
