BLOG DESIGN
Kama unahitaji blog kwa ajili ya habari, matukio, au kutoa elimu na ujuzi ulionao, tunakujengea Blog ya kisasa na rahisi kuitumia. Blog zetu zinakuwa na muonekano wa kuvutia, zinapakia kwa kasi, na zimeandaliwa tayari kuingiza kipato kupitia matangazo (kama Google Adsense).
-
Kwa nini utuchague? Tunakufundisha jinsi ya kuweka makala mwenyewe na tunahakikisha blog yako inaonekana vyema kwenye vifaa vyote.
