MAFUNZO YA KURUSHA MATANGAZO
Jifunze Mbinu za Kurusha Matangazo Yenye Matokeo na Ongeza Mauzo Mwenyewe
Acha kupoteza pesa kwa kurusha matangazo yasiyosababisha mauzo! Kupitia mafunzo yetu ya vitendo, tutakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kurusha matangazo ya kulipia mtandaoni (Facebook & Instagram Ads), jinsi ya kuchagua walengwa sahihi, na jinsi ya kupunguza gharama za matangazo huku ukipata wateja wengi.
-
Kwa nini utuchague? Mafunzo yetu ni ya vitendo 100%, ni mepesi kueleweka, na tunakupa msaada wa karibu hata baada ya kumaliza mafunzo.
