SERVICES

HUDUMA ZITOLEWAZO

WEBSITE DESIGN

Tunatengeneza tovuti (website) za kisasa zenye uwezo wa kukusaidia kutangaza biashara yako mtandaoni na kujenga brand inayoaminika. Gharama zetu ni rafiki kwa kila mtu.

KUONGEZA FOLLOWERS

Tunatoa huduma ya Kuongeza Followers (Wafuasi) Katika Akaunti yako ya Instagram kwa haraka na kwa gharama rafiki sana.

KUTANGAZA BIASHARA

Je, ungependa kuwafikia watu wengi zaidi na kuongeza mauzo katika biashara yako? Kama jibu ni ndio basi tupo kwa ajili yako. Timu yangu itakusaidia kutangaza biashara yako na kuwafikia watu wengi zaidi kwa gharama rafiki kabisa.

GRAPHIC DESIGN

Tunatoa huduma ya kutengeneza Logo, Mabango, Banners, Business cards, Vitambulisho vya PVC, kadi za mwaliko, kalenda, vipeperushi na Nametags.

PRINTING

Tunaprint diary na receipts za shule, kalenda, t-shirt, vipeperushi na mabango

BLOG DESIGN

Tunatengeneza Blog za kisasa kwa matumizi mbalimbali. Kama unahitaji blog kwa ajili ya kuweka taarifa za habari, matukio au kutoa elimu ya ujuzi uliokuwa nao, timu yangu itakusaidia kutimiza lengo lako kwa kukuandalia blog inayoendana na hitajio lako.

KUFUTA MADENI

Tutakusaidia kufuta madeni yanayotokana na Kutangaza Facebooka na Instagram (Sponsored Ads).